KISW 104: Communication and Language Skills in Kiswahili
Lengo la Kozi
Kozi hii inanuia kumwezesha mwanafunzi:
a) Kumudu stadi mbalimbali za lugha ya kiswahili na jinsi stadi hizi zinasaidia katika mawasiliano ya kuzungumza na kuandika.
b) Kuimarisha mbinu na uwezo wa kusikiliza, kuzungumza na kuandika kwa njia bora.
Kutali lugha ya Kiswahili kiasi cha kuweza kuwasilisha fikra zao na dhana zozote kwa ufasaha upasao1. Dhana ya Lugha
2. Dhana
ya Mawasiliano
3. Mbinu za Uandishi 1
4. Mbinu
za uandishi 2
5. Mbinu za Kusoma
6. Mbinu za Mazungumzo
7. Mbinu za Kusikiliza
8. Tafsiri kama Mbinu ya Mawasiliano
MAREJELEO
Abrell, R. (2004). Preventing Communication Breakdowns. Reston, VA: National Association of Secondary School Principals.
Antos, G. (2011). Handbook of Interpersonal Communication. The Hague, The Netherlands: Mouton De Gruyter.
Brownell, J. (2009). Listening: Attitudes, Principles, and Skills. Boston, MA: Pearson. Burstein, J. 2010. Have you heard?: Active listening. New York, NY: Crabtree Publishing.
Canary, H. (2011). Communication and Organizational Knowledge: Contemporary Issues for Theory and Practice. Florence, KY: Taylor & Francis.
Cheney, G. (2011). Organizational Communication in an Age Of Globalization: Issues, Reflections, Practices. Long Grove, IL: Waveland Press. Eisenberg.
Crystal, D na Davy, D.1969. Investigating English Style. Blooming-ton:Indiana University Press.
Keyton, J. (2011). Communication and organizational culture: A key to Understanding Work Experience. Thousand Oaks, CA: Sage.
Kneen, J. (2011). Essential skills: Essential speaking and listening skills. New York, NY: Oxford University Press.
Kitsao, J. 1975. "A stylistic Approach Adopted for the Study of Written Swahili Texts. Tasnifu ya Uzamifu: Chuo Kikuu cha Nairobi.
Lunenburg, F.2010. "Communication: The Process, Barriers and Improving Effectiveness" katika Schooling. Vol1;No.1uk.1-12
Obuchi, M. na A. Mukhwana (2010). Muundo wa Kiswahili Ngazi na Vipengele. Kijabe : A.I.C Kijabe printing press.
Ogechi, N. O. (2002). Stadi za mwasiliano kwa Kiswahili. Eldoret:Moi University Press.
Mwanafunzi ana uhuru wa kurejelea vitabu na tasnifu zozote za mawas
- Teacher: Vincent Moracha
- Teacher: Tinega Ngoge
- Teacher: Mr. Geoffrey Tinega