MADHUMUNI YA KOZI:
Kozi hii inadhamiria kumfahamisha mwanafunzi maana ya fasihi, dhima ya fasihi katika jamii, tanzu za fasihi na vilevile vipengele mbalimbali vinavyoangaziwa katika uhakiki wa fasihi. Kozi yenyewe itatathminiwa kwa mijarabu miwili itakayojumlisha alama 30% na mtihani wa mwisho utakaojumlisha alama 70%. Mahudhurio ya mihadhara ni ya lazima.

- Teacher: Elizabeth Kasau